DPP aagiza Barchok na Wangamati washtakiwe kw amadai ya ufisadi

  • | Citizen TV
    128 views

    Gavana wa Bomet Hillary Barchok pamoja na mwenzake wa Zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati ni miongoni mwa watu walioidhinishwa kufunguliwa mashtaka na mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi