DPP amemfungulia mashtaka ya mauaji polisi Klinzy Barasa

  • | Citizen TV
    364 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma amemfungulia afisa wa polisi Klinzy Barasa mashtaka ya mauaji ya muuza maski Boniface Kariuki mwangibarasa alimpiga risasi kichwani Boniface wakati wa maandamano ya Juni 25 mwaka huu yaliyopinga ukatili wa polisi