DR Congo yatinga robo fainali kwa kuibandua Misri

  • | BBC Swahili
    772 views
    Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imeweza kuendelea mbele katika hatua ya robo fainali baada ya mchezo uliofanyika hapo jana dhidi ya Misri. Mchezo ulimalizika kwa mikwaju ya penati baada ya DRC na Misri kumaliza dakika 120 bila kufungana. Mwandishi wa BBC @frankmavura amezungumza na kocha, wachezaji pamoja na mashabiki wa DRC na kutuandalia video hii. #bbcswahili #DRC #afcon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw