- 19,721 viewsDuration: 38sTazama wakati ndege isiyo na rubani ilipolipua na kuharibu kanisa moja la Ukraine lililojengwa miaka 400 iliyopita. Jengo hilo, ambalo ni sehemu ya urithi wa dunia kwa mujibu wa UNESCO, lina historia na thamani kubwa ya utamaduni kwa Ukraine na dunia kwa ujumla. Mashambulizi hayo yameibua wasiwasi mkubwa kuhusu uharibifu wa maeneo ya kihistoria na usalama wa raia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw