Droni zinavyowasaidia watoa huduma za Dharura Marekani

  • | VOA Swahili
    34 views
    Droni za kampuni moja ya Seattle, jimbo la Washington, hapa Marekani, zinawasaidia watoaji wa huduma za dharura, kama "macho na masikio" yao, katika mazingira hatari. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.