Duale atangaza kuvunjwa kwa shirika la uhifadhi wa chemichemi za maji

  • | NTV Video
    115 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale ametangaza kuvunjwa kwa shirika la uhifadhi wa chemichemi za maji nchini na wafanyikazi wake kuhamishwa katika mashirika mengine ya wizara hiyo kulingana na tajriba yao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya