- 3,543 viewsDuration: 2:24Jaji Mkuu wa zamani David Maraga sasa anamtaka waziri wa afya Aden Duale kuwajibikia vurugu linaloshuhudiwa katika bima ya afya ya SHA. Maraga sasa akitaka tume ya kupambana na ufisadi EACC kuingilia kati uchunguzi kuhusu ulaghai wa bima hiyo.