Duale awataka viongozi wa kiislamu kuwa mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya mihadarati

  • | KBC Video
    65 views

    Wasomi na viongozi wa dini ya kiislamu wametolewa wito wa kuunga mkono juhudi zinazotekelezwa na serikali ya kitaifa za kukabiliana na pombe haramu na mihadarati.Waziri wa ulinzi Aden Duale ameonya kuwa vita dhidi ya mihadarati havitafaulu iwapo juhudi za pamoja hazitafanywa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive