Duale: Hakuna fedha za mikataba ya kudumu kwa wafanyakazi wa UHC

  • | NTV Video
    63 views

    Waziri wa Afya, Aden Duale, amesema kuwa Wizara ya Afya haina fedha za kutosha kuwaajiri wafanyakazi wa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) kwa mikataba ya kudumu na yenye mafao ya uzeeni.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya