Duale: Jenerali Ogolla alinionyesha jumbe za jinsi alivyotumwa Bomas

  • | Citizen TV
    4,321 views

    Yaliyojiri kwenye ukumbi wa Bomas wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 yaliendelea kwenye mazishi ya mkuu wa Majeshi Jenerali Francis Ogolla. Waziri wa ulinzi Aden Duale akiongoza hotuba zilizomuondolea lawama Jenerali Ogolla. Na kama Miswaleh Zingizi anavyoarifu, viongozi wa upinzani waliozungumza walimtaja jenerali kuwa mtu ambaye hakusukumwa na misimamo ya kisiasa.