Dubu avamia mitaa ya Slovakia

  • | BBC Swahili
    1,790 views
    Tazama Dubu huyu ambaye alivamia barabara katika mji wa Slovakia , Liptovský Mikuláš na kujeruhi watu wawili ambao walipelekwa hospitalini. Mwanamke mwenye umri wa miaka 49 alijeruhiwa begani, huku mzee wa miaka 72 akipatiwa matibabu ya jeraha kichwani. Ripoti zilisema polisi walimfukuza na kumpeleka dubu huyo hadi nje ya mji katika msitu. #bbcswahili #slovakia #dubu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw