Duka la Nice Digital City Mwea lafunguliwa tena leo

  • | Citizen TV
    634 views

    Baada ya maduka yake kadhaa kuharibiwa wakati wa maandamano ya Saba Saba, Duka la pamoja la Nice Digital City lililoko Mwea kaunti ya Kirinyaga, limerejelea shughuli siku saba baada ya kuporwa na wahuni. Mwanzilishi wa duka hilo Njiru Mkombozi akisema itamlazimu kuchukua mikopo kurejesha biashara hiyo aliyokuwa ameijenga kwa zaidi ya miaka 38.