Duka la vipuri vya magari lateketezwa Ruai

  • | KBC Video
    64 views

    Maafisa wa polisi katika eneo la Ruai kaunti ya Nairobi wanachunguza kisa ambapo mstawishaji wa kibinafsi anadaiwa kuwakodi majambazi waliovunja na kuchoma duka la vipuri vya magari na huduma za M-Pesa mjini humo. Mmiliki wa duka hilo James Karanja Njiri anasema kundi la wanaume lilifika katika duka hilo usiku wa kuamkia leo na kuwavamia walinzi kabla ya kulimwagia petroli duka hilo na kuliteketeza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive