Dunia Wiki Hii 17th June 2023: Aliyekuwa waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi aaga dunia.

  • | KBC Video
    26 views

    Katika makala ya juma hili, - Mkuu wa shirika la IGAD ahimiza pande zinazozozana nchini Sudan kusitisha uhasama huku mapigano makali yakizuka baina ya pande hizo jijini Khartoum muda mfupi baada ya muda wa utekelezaji mkataba wa kusitisha vita. - Aliyekuwa waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi aaga dunia. - Raia kadhaa wauawa kwenye mashambulizi ya waasi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #DuniaWikiHii #KBCniYetu