Dunia Wiki Hii 25th November 2023 | Liberia yamtangaza Boakai kuwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais

  • | KBC Video
    44 views

    Katika makalaya juma hili, Israel na kundi la Hamas waafikia mkataba kuhusu kuwaachilia huru matekahuku idadi ya vifo huko Gaza ikipita zaidi ya elfu-13.

    Misir yapokea watoto 31 wachanga ambao walizaliwa kabla ya muda wao waliohamishwa kutoka hospitali ya Al-Shifa huko Gaza.

    Liberia yamtangaza Boakai kuwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News