Dunia Wiki Hii I Jeshi la Israel ladai kudhibiti asilimia 65 ya Gaza i 12th July 2025

  • | KBC Video
    75 views

    Katika makala ya juma hili,

    Jeshi la Israel ladai kudhibiti asilimia 65 ya Gaza huku likiwaua zaidi ya wapalestina 40 katika eneo hilo.

    Rais Trump wa marekani atia saini kuwa sheria mswada unaobainisha sera zake zikiwemo kupunguza ushuru na kuimarisha ufadhili kwa jeshi na usalama wa mpakani.

    Mkataba wa amani wa DRC na Rwanda ni mwanzo tu huku waasi wa kundi la M23 wakiandaa awamu mpya ya mashauriano jijini Doha,Qatar.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News