Dunia Wiki Hii: Tunaangazia mzozo wa kisiasa nchini Sudan, Ungana naye Isaac Lemoka, 27th Nov 2021

  • | KBC Video
    ambapo tangazo la kisisasa lilitiwa saini huku Hamdok akirejeshwa kwenye wadhifa wa waziri mkuu. China yafadhili miradi mbalimbali barani Afrika kwa lengo la kukomesha mateso na umaskini miongoni mwa wananchi. Rais Putin wa urusi akariri suluhu ya kubuniwa kwa mataifa mawili kwenye mzozo baina ya Israel na wapalestina. Nchi mbalimbali zaendelea juhudi za kukabiliana na janga la COVID-19 huku kampeni za utoaji chanjo zikiimarishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #GlobalNews #News #DuniaWikiHii