Dunia Wiki Hii ukiletewa nao Beatrice Gatonye na Isaac Lemoka || 9th January 2022

  • | KBC Video
    Katika Makala ya juma hili: Visa vya maambukizi ya aina ya COVID-19 ya omicron vyaendelea kuongezeka huku nchi nyingi zikiamua kutoa dozi ya tatu ya chanjo ili kudhibiti atharizake. Hafla rasmi ya mazishi ya marehemu mtetezi wa amani nchini Afrika kusini Desmond Tutu iliandaliwa mjini Cape Town. Afrika kusini yathibitisha kwamba mtu mmoja alikamatwa kuhusiana na kisa cha moto kwenye jengo la zamani la bunge. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #WorldNews #DuniaWikiHii