Dunia Wiki Hii | Wanawake Zimbabwe waelezea hisia na mtazamo wao wa maisha kupitia sanaa ya uchoraji

  • | KBC Video
    19 views

    Katika makala ya juma hili, 18th March 2023:

    - Huku mkutano wa baraza linaloongoza nchini China ukikamilika rais Xi Jinping alichaguliwa kwa mara ya tatu huku akiahidi kutii katiba na kukariri juhudi zake za kuiimarisha nchi hiyo. - Wanawake nchini Zimbabwe wanaelezea hisia na mtazamo wao wa kimaisha kupitia Sanaa ya uchoraji. - Afisa mmoja wa shirika la WHO asema chamko la kipindupindu nchini Malawi ndilo kubwa zaidi barani Afrika. - Waziri wa ujenzi na uchukuzi wa Lebanon, Ali Hamieh alisema kuwa benki ya dunia imesema iko tayari kuisaidia serikali ya nchi hiyo kwenye mpango wake wa uwekezaji wa kuijenga upya bandari ya Beirut. - Mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kuhusu Libya, Abdoulaye Bathily alikariri umuhimu wa kuandaa uchaguzi wa kitaifa nchini humo ili kuafikia amani uthabiti na ustawi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #DuniaWikiHii #TheGreatKBC