Duniani Leo 01/31/2023:DRC: Papa Francis apokelewa na umati mkubwa wa watu Kinshasa

  • | VOA Swahili
    3,737 views
    Papa Francis amewasili Kinshasa Jumanne kuanza ziara ya siku nne nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na baadae ataelekea Sudan Kusini, Papa ana nia ya kuwasilisha ujumbe wa amani kwa mataifa haya mawili yanayokabiliwa na migogoro na umaskini. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.