Duniani Leo Februari 08, 2023: Marekani: Wananchi watoa maoni juu ya hotuba ya Biden

  • | VOA Swahili
    2,933 views
    Maoni mbalimbali yajitokeza baada ya hotuba ya Rais Joe Biden ya Hali ya Kitaifa aliyoitoa katika kikao cha pamoja cha bunge la Marekani lililogawanyika kisiasa. - Watu watatu wauawa Kivu Kaskazini wakiandamana.... #voa #voaswahili #habari #dunianileo #rais #marekani #bunge #haliyakitaifa #wananchi #maoni Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari