- 5,658 viewsIdadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria imeogezeka na kufikia 17,000, wengine wengi wakiwa bado wamefunikwa na vifusi wakati juhudi za uokoaji zikiendelea. Watanzania wa kada mbalimbali watoa maoni tofauti juu ya mchakato wa katiba nchini humo ambao umetangazwa kuanza katika siku za usoni. ..... #voaswahili #voa #dunianileo #tetemekolaardhi #uturuki #syria Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
Duniani Leo Februari 09, 2023: Tetemeko la Ardhi: Idadi ya waliofariki Uturuki na Syria yaongezeka
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
- 17 Aug 2025 - Ghosts of Nyayo haunts, reminding us that fight for genuine, citizen-centred governance is far
- 17 Aug 2025 - Political analysts say renewed confrontation could reopen old political wounds
- 17 Aug 2025 - Ruto has rolled out multi-million-shilling empowerment programmes targeting women, youth
- 17 Aug 2025 - US President Donald Trump on Saturday shifted his campaign to halt the Ukraine war to securing a full peace agreement after a summit with Russia's President Vladimir Putin failed to secure a ceasefire.
- 17 Aug 2025 - Hundreds of Air Canada employees formed picket lines outside major Canadian airports on Saturday, hours after unionized flight attendants walked off the job in a contract dispute that has disrupted travel for tens of thousands of passengers.
- 17 Aug 2025 - Ukraine's Volodymyr Zelenskiy flies to Washington on Monday under heavy U.S. pressure to agree a swift end to Russia's war in Ukraine but determined to defend Kyiv's interests - without sparking a second Oval Office bust up with Donald Trump.
- 17 Aug 2025 - Wiper Patriotic Front leader Kalonzo Musyoka has warned President William Ruto’s administration and potential investors against any attempts to sell or buy the Kenya Pipeline Company.