Duniani Leo Februari 09, 2023: Tetemeko la Ardhi: Idadi ya waliofariki Uturuki na Syria yaongezeka

  • | VOA Swahili
    5,658 views
    Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria imeogezeka na kufikia 17,000, wengine wengi wakiwa bado wamefunikwa na vifusi wakati juhudi za uokoaji zikiendelea. Watanzania wa kada mbalimbali watoa maoni tofauti juu ya mchakato wa katiba nchini humo ambao umetangazwa kuanza katika siku za usoni. ..... #voaswahili #voa #dunianileo #tetemekolaardhi #uturuki #syria Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.