Mamia wawasili katika kambi ya Daadab kutoka Somalia kila siku wakikimbia ukame

  • | VOA Swahili
    2,935 views
    Watu kati ya 400 na 500 wanawasili katika kambi ya wakimbizi ya Daadab wakikimbia ukame na hali ngumu ya maisha. Makamanda wa Jeshi la Uganda na DRC wamekubaliana kuendelea na operesheni za pamoja kuwasaka wapiganaji wa kigaidi wa kundi la ADF. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari