EACC imekabidhi ardhi chenye thamani ya ksh. 400m katika kaunti ya Kisumu

  • | Citizen TV
    583 views

    Tume ya kupambana na ufisadi nchini hii leo imekabidhi kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni mia nne kwa serikali kaunti ya Kisumu. Hii ni kufuatia uamuzi wa mahakama ulitolewa mwezi Novemba ambapo mwekezaji wa kibinafsi alipatikana na hatia ya kunyakua kipande cha ardhi kilichotengwa kwa ujenzi wa mabomba ya kusambaza maji. Na kama anavyoarifu Laura Otieno tume hiyo sasa imewaonya maafisa wa wizara ya ardhi ambao wanatoa hatimiliki ghushi za ardhi kwa wawekezaji wanaonyakua ardhi ya umma.