EACC imetwaa ardhi ya shilingi nusu bilioni iliyokuwa imenyakuliwa jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    3,123 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi imetwaa ardhi ya shilingi nusu bilioni jijini Mombasa. Nyumba zilizoko katika eneo hilo zilinyakuliwa tangu mwaka wa 1999. ardhi hiyo sasa imerejeshewa wizara ya nyumba na tume hiyo pia imepata ruhsa ya mahakama kuzuia shughuli zote kwenye ardhi inayomilikiwa na mamlaka ya maji ya pwani ambayo ilikuwa imenyakuliwa.Brenda Wanga ana tarifa hiyo kwa kina