EACC imetwaa ardhi ya shillingi milioni 100 iliyonyakuliwa kutoka kwa serikali jijini Nakuru

  • | Citizen TV
    694 views

    Tume ya EACC imetwaa ardhi ya thamani ya shillingi milioni mia moja iliyonyakuliwa kutoka kwa serikali jijini Nakuru. ardhi hiyo ilikuwa imetengwa kwa ujenzi wa ofisi za serikali kabla ya kunyakuliwa miongo minne iliyopita.