22 Aug 2025 1:24 pm | Citizen TV 3,134 views Duration: 1:22 Tume ya Kupambana na Ufisadi EACC imewasilisha majina ya Magavana watatu wa sasa na mmoja wa Zamani kwa afisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi na kuiba mali ya umma