EACC ipewe Uhuru | Viongozi wa makanisa kwa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    1,266 views

    Viongozi wa makanisa wanamtaka rais William Ruto kutimiza vitisho vyake na kuwachukulia hatia wabunge anaodai wanahusika na ufisadi. Hata hivyo, viongozi hawa waliozungumza kwenye makanisa mbalimbali nchini wamemtaka rais William Ruto kuipa tume ya kukabiliana na ufisadi nchini EACC jukumu huru la kufanya kazi yake