Skip to main content
Skip to main content

EACC yaendelea mpango wa kamati za kaunti

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 2:10
    Tume ya kukabiliana na ufisadi - EACC - inaendeleza mpango wa kuanzisha kamati za kuzuia na kukabiliana na ufisadi katika kaunti zote 47. kamati hizo zitatumiwa kuziba myanya ambayo imekuwa ikitumiwa kupora Mali ya umma. Michael Mutinda na taarifa hiyo.