EACC yamkamata mkuu wa usoroveya Kericho kwa madai ya ufisadi

  • | KBC Video
    81 views

    Watu watano akiwemo afisa mmoja wa polisi wamekamatwa na kuzuiliwa huko Kitui kwa madai ya kujisingizia kuwa majasusi kutoka tume ya maadili na kupambana na ufisadi. Watu hao ambao walikuwa wanaume wanne na mwanamke mmoja walikamatwa walipokuwa wakijaribu kumuitisha pesa afisa mmoja mkuu wa serikali ya kaunti. Haya yanajiri maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi katika kaunti ya wakimkamata afisa mkuu wa maswala ya ardhi katika kaunti hiyo Ismail Kipngeno Koskei kwa madai ya kuitisha hongo ya shilingi laki mbili ili kufanikisha mchakato mmoja wa ardhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive