EACC yapendekeza magavana watatu washtakiwe

  • | Citizen TV
    2,606 views

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imependekeza magavana watatu walioko mamlakani na mmoja wa zamani wafunguliwe mashtaka kuhusiana na madai ya ufisadi. Tume hiyo pia imesema kuwa uchunguzi dhidi ya magavana wengine watano wa sasa na kumi na mmoja wa zamani unakaribia kukamilika