EACC yarejesha ardhi ya umma yenye thamani ya Ksh 104M mjini Mombasa

  • | TV 47
    231 views

    EACC yarejesha ardhi ya umma yenye thamani ya Ksh 104M mjini Mombasa.

    Sehemu ya ardhi yenye nambari ya usajili 3748 ina ukubwa wa ekari 1.73.

    Ardhi iliyonyakuliwa ni ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege nchini (KAA).

    EACC imesema ardhi hiyo ilinyakuliwa na Agil Mahmud.

    Mahmud ndiye aliyekuwa mhandisi mkuu wa Mkoa wa Pwani.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __