EACC yawashauri Wakenya kutochagua viongozi wenye doa za ufisadi na utovu wa maadili

  • | NTV Video
    106 views

    EACC imewataka Wakenya kutochagua viongozi wenye doa za ufisadi na utovu wa maadili katika uchaguzi mkuu ujao. Askofu mkuu mstaafu Eliud Wabukala anasema Wakenya wana wajibu wa kuamua viongozi waadilifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya