Skip to main content
Skip to main content

Ebola inatutesa - Wakazi wa DRC

  • | BBC Swahili
    367 views
    Duration: 1:26
    Wakazi wa DRC wazungumzia hofu ya Ebola huku idadi ya vifo ikiongezeka ambapo zaidi ya watu 130 wamefariki kutokana na mlipuko mpya wa Ebola. Kifo kimoja kimeripotiwa nchini jirani ya Uganda. Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kuwa mlipuko huo unaweza kusambaa kwa kasi zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali. #bbcswahili #DRC #Ebola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw