Echesa amshtumu gavana Barasa kwa masaibu yanayomwandama

  • | KBC Video
    28 views

    Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa amedai kuwa masaibu yametokana na gavana wa Kakamega Fernandes Barasa anayemshtumu kwa kuchochea kukamatwa kwake baada ya kudaiwa kufichua shughuli zisizofaa katika kamati kuu ya kaunti hiyo. Echesa aliyeandaa mikutano kwenye vituo mbalimbali aliyoirejelea kuwa kurejea nyumbani na kutoa shukrani hata hivyo amesema kuwa mapambano ya kisheria baina yake na Barasa hayajafikia kikomo kwani ana ushahidi muhimu wa kuwasilisha mahakamani kuthibitisha kwamba gavana huyo anahusika katika ushirikina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News