- 3,997 viewsDuration: 2:24Edward Kamau Gituku mshukiwa katika sakata ya ulanguzi wa binadamu atazuiliwa kwa siku kumi . Gituku alikamatwa pamoja na washukiwa wengine 22 katika nyumba moja katika mtaa wa great wall huko mavoko akidaiwa kuhusika na usafirishaji wa watu hadi nchini urusi.