Skip to main content
Skip to main content

Edwin Sifuna atimuliwa Katibu Mkuu wa chama ODM

  • | BBC Swahili
    3,981 views
    Duration: 39s
    Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) nchini Kenya kimemfukuza Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kama Katibu Mkuu wa chama hicho. Uamuzi wa kumuondoa Sifuna ulifikiwa wakati wa mkutano wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Chama uliofanyika Mombasa Jumatano. Chama hicho kilisema kimeazimia kumwondolea Sifuna majukumu yake mara moja. Catherine Omanyo ambaye ni mmoja wa Naibu Katibu Mkuu, atahudumu katika nafasi hii hadi mtu anayeshikilia wadhifa huo achaguliwe #tiktokkenya #bbcswahili #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw