Skip to main content
Skip to main content

El Niño inakuja

  • | BBC Swahili
    2,641 views
    Duration: 1:01
    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) umetoa tahadhari dhidi ya El Niño, wakitangaza kuwa kuna 80% ya ya kutokea kati ya Juni na Agosti 2026 na uwezekano wa zaidi ya 90% wa kudumu hadi Novemba 2026. Na mwaka huu, inaonekana kuna uwezekano mkubwa kuwa itakuwa kali zaidi kuliko kawaida. Isabella Mwagodi anaelezea zaidi #bbcswahili #elnino #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw