"Changamoto tunayoshuhudia kama maafisa wa IEBC katika usajili wa wapiga kura ni kwamba vijana wengi hawana vitambulisho vya utambulisho na hawatembei kujisajili. Tunawahimiza watembee na vitambulisho vyake, kwani tunatembelea wote kwenye wadi tofauti, na wale ambao hawana vitambulisho wajiandikishe mapema ili waweze kupiga kura mwaka 2027." - Mkazi, Elgeyo Marakwet
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__