Elijah Akumu amejishindia shilingi 500,000 kwenye Shabiki.com

  • | Citizen TV
    105 views

    Fundi wa rangi kutoka eneo la Lolgorion, Kilgoris, elijah akumu, ameibuka mshindi wa mchezo wa shabiki .com aviator players of love. Akumu, ambaye amejishindia shilingi 500,000 ni mshindi wa mwisho wa kampeni ya shabiki.com aviator players of love. Akumu, mwenye umri wa miaka 45 ni mzaliwa wa migori, na aliibuka mshindi baada ya kupata dau la juu zaidi wiki hii. Elijah ameelezea furaha yake baada ya ushindi huo mkubwa akisema atatumia sehemu ya pesa hizo kuanzisha biashara na zitakazosalia atumie kuendeleza kilimo.