Elimu adimu Kaskazini Mashariki: Viongozi waisuta tume ya TSC

  • | K24 Video
    Viongozi Kutoka Eneo La Kaskazini Mashariki Sasa Wanaitaka Tume Ya Kuwaajiri Walimu Nchini Tsc Kuwarejesha Walimu Waliohamishwa Kutoka Kaunti Za Eneo Hilo Kwani Hatua Hiyo Imeathiri Shughuli Za Masomo. Katika Hafla Iliyohudhuria Na Waziri Wa Usalama Wa Taifa Fred Matiang'i, Viongozi Hao Wamesema Kuna Wafanyikazi Wengi Kutoka Maeneo Tofauti Ya Kenya Wanaofanya Kazi Eneo Hilo Na Hivyo Kushtumu Hatua Ya Tsc Kuwahamisha Walimu. Aidha Waziri Mating'i Amesema Atafanya Kikao Na Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Kutafuta Mwafaka Kuhusu Tatizo Hilo.