Elimu Kwa Wote Machakos I Hundi za ufadhili wa elimu zasambazwa Matungulu

  • | KBC Video
    15 views

    Sekta ya elimu katika kaunti ya Machakos imepigwa jeki kufuatia ufunguzi wa madarasa ya elimu ya Chekechea katika shule ya msingi ya Kalaani kaunti ndogo ya Yatta. Madarasa hayo yaliojengwa na mhisani yalizinduliwa na gavana wa Machakos Wavinya Ndeti. Akiongea katika shule hiyo, gavana Wavinya alitoa wito wa ushirikiano zaidi na serikali ya kaunti hiyo katika kuimarisha muundo msingi kwenye shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive