Elius Kiptum ahukumiwa kwa njama ya kutoa habari za undangayifu dhidi ya wanariadha wa Kenya

  • | KBC Video
    42 views

    Mahakama iliyoko kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta imemhukumu Elius Kiptum Maindi kifungo cha miezi 18 baada ya kupatikana na hatia ya kughushi na kukula njama ya kutoa habari za undangayifu dhidi ya wanariadha wa Kenya kwa wanahabari wa kimataifa. Mahakama hiyo hata hivyo, ilikataa ombi la shirika la kupambana na utumizi wa dawa haramu michezoni la kifungo cha miaka mitatu lililowasilishwa mwaka 2021.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News