Elvis Rupia afunga bao la pekee la Police FC

  • | Citizen TV
    171 views

    Mshambulizi Elvis Rupia alifunga bao la pekee na kuisaidia Police FC kupata ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya bidco united alipofunga katika dakika ya 43' uwanjani nyayo leo mchana.