Emali: Familia ya Kijana Aliyeuawa Maandamano ya Gen Z Yataka Haki Itendeke

  • | NTV Video
    80 views

    Upasuaji wa maiti ya vijana waliopigwa risasi katika maandamano ya gen Z mjini Emali wiki Jana unafanyika katika hospitali ya kilome nursing ambapo familia ya Makau Mwaluko wa umri wa miaka 23 inalilia serikali na mashirika ya haki kuingilia Kati ili haki ya wanao itendeke.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya