Emmaculate Anyango na Daniel Ebenyo Simiyu washinda mbio za nyika za Sirikwa Classic

  • | Citizen TV
    232 views

    Emmaculate Anyango na Daniel Ebenyo Simiu ndio washindi wa mbio za nyika za Sirikwa Classic zilizofanyika katika uwanja wa Lobo Kapsaret mjini eldoret kaunti ya Uasin.