- 6,436 viewsDuration: 2:57Mamia ya wakaazi wa eneobunge la Emurwa Dikirr pamoja na viongozi mbalimbali wameendelea kufika nyumbani kwa marehemu mbunge wao Johanna Ng'eno kuifariji familia yake. Simanzi ilitanda kwa waliofika kuifariji familia huku wengine wakisema kifo cha Ng'eno kimewapata kwa mshtuko mkubwa. Chrispine Otieno amekuwa Emurua Dikirr hii leo na kutuandalia taarifa ifuatayo.