- 14,068 viewsDuration: 3:22Kwa mara nyingine sehemu nyingi za jiji la Nairobi zilijaa maji kupindukia kufuatia mvua iliyonyesha jana jioni. Mojawapo ya maeneo yaliyoathirika zaidi ni pamoja na eneo la Grogan ambako magari zaidi yalisombwa huku majumba yakijaa maji.