Eneo la kihistoria la Thim lich Ohinga katika kaunti ya Migori kukarabatiwa

  • | KBC Video
    16 views

    Serikali ya kaunti ya Migori na Makavazi ya kitaifa ya Kenya zimeshirikiana kukarabati eneo la kihistoria la Thim lich Ohinga. Naibu gavana wa kaunti ya Migori Dr. Gimunata Mahiri amesema kuwa serikali ya kaunti pia inanuia kuwekeza katika maeneo mengine matano ya kitalii kuimarisha sekta hiyo. Haya yanajiri kufuatia wasiwasi ulioibuliwa na wasomi katika eneo la nyanza kuhusu kudorora kwa magofu ya Thimlich Ohinga ambayo yanakisiwa kuwepo kwa zaidi ya karne tano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive